HAJI ADAM ATOA NAFASI KWA WENYE VIPAJI VYA KUIGIZA

images
Haji Adam ni miongoni mwa wasanii wakali sasa katika tasnia ya bongo muvi.Kupitia ukurasa wake wa facebook,Haji Adam aliandika”Habarini ndg zangu na marafiki, Tangazo kwa wale wanaotaka kuigiza na mimi na kunyanyua vipaji vyao nafasi ndio hii na wakati ndio huu

Nini chakufanya?!! Jirekodi video clip dk kadhaa ukiigiza, yaani igiza onyesha uhodari wako onyesha hisia zako ili nikuchague halafu tuma video clip hiyo kwa number hii +989356423433

Kwa wale watakao pita hakuna malipo watakayotoa na hakuna ubabaishaji bali tutafanya kazi na mtanyanyua vipaji vyenu. Shukrani”
Ni muda mzuri wewe mwenye kipaji kuonyesha uwezo wako sasa.
Instagram/TIZNEEZ
Twitter/TIZNEEZ
Facebook/TIZNIZ