Haitham Aeleza alivyompata Mwana Fa.

fulani

Fulani ni wimbo wake uliotambulisha vyema kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya. Haitham hakusita kuweka wazi vile ambavyo alikutana na Mwana Fa katika wimbo wake pia mipango yake ya baadae pamoja na kile kinachoonekana kwa wadada walio wengi kutumia mitandao ya kijamii vibaya.

Msikilize hapa chini akizungumza na Batro.