Grace Matata Aeleza mbinu za msanii kudumu kwenye muziki

index

Ni moja kati ya wasanii ambao wana uwezo mkubwa katika muziki wa kizazi kipya, isipokuwa si msanii wa vyombo vya habari zaidi. Pia ni miongoni kati ya wasanii wachache wa kike wenye kujiheshimu.

Amefanya mahojiano na Team tizneez, unaweza kusikiliza mahojiano hayo hapo chini.

Sauti ya Grace Matata na Batro ambaye ndiye mwandishi wa www.tizneez.com

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez