God Zilla awaunganisha Ay na Fid Q.

God Zilla awaunganisha Ay na Fid Q.

‘Kila wakati’ akiwa amemshirikisha G Nako ni wimbo wa God Zilla ambao unafanya vyema kwenye vituo vingi vya radio.

Zizi amekuwa mtumiaji mzuri wa mtandao wa Twitter ambapo mapema leo hakusita kushare moja kati ya mipango yake ya sasa kimuziki.

Godzilla kupitia Twitter ameandika “Sijawahi kua na remix in my life… Hii ya kwanza Ay, FidQ na  Marco chali lets finish it up”

Facebook Tizneez

Instagram Tizneez

Twitter Tizneez

Youtube Tizneez