Gihcue Afuata vifaa Dubai.

Gihcue Afuata vifaa Dubai.

Burger Movie Selfie ya Belle 9 ni kielelezo bora cha ubora wa Gihcue.

Ilihali ipo video kama Hapo ya Jux, Gnako, na Quick Racka ambayo pia ni kielelezo tosha.

Lakini hatujasahau video ya Bongo Land, Safari, Wanangu na nyingine nyingi.

Tofauti ya Gihcue na waongozaji wengine ni kubwa, maana si mtu wa jicho moja bali macho mengi tofauti katika video zote afanyazo.

Gihcue kwa sasa yupo Dubai katika kuongeza vifaa ili kuboresha kazi yake ya uongozaji wa video za muziki.

Hakika hii ni hatua kubwa ambayo itabadilisha vyema soko la video za muziki hapa Tanzania, maana changamoto ya vifaa ilikuwa ni moja ya mkwamo wake.

Tazama picha chini akiwa Dubai.

#TuzungumzeMuziki.