FID Q “NAKUMBUKA DENI LANGU”

index
Fid Q ambaye ameonekana kukonga nyoyo za mashabiki wake katika jukwaa la Coke studio,ambapo ameshirikiana na msanii Maurice Kirya.
Fid Q ni moja kati ya wasanii ambao wamekuwa wapo karibu zaidi na mashabiki wake hasa katika mtandao wa Twitter.Fid q hakusita kumjibu mshabiki wake baada ya kumwambia”blaza tunahitaji mkono mpya maana kimya kimezidi.Fid Q hakusita kumjibu mshabaiki wake na kusema ” kumuuliza kuhusu ujio wake mpya,Ambapo Fid alisema”Nadaiwa video tatu nitazilipa soon”.
Fid Q aliwahi kusema kuhusu video zake tatu katika kituo kimoja cha radio wakati akifanya mahojiano,na mpaka sasa tayari imeshapita miezi kadhaa.
HIvyo kama anakumbuka deni hilo mashabiki wake muendele kusubiri pia na kumdai maana ahadi ni deni.
Facebook.com/Tizniz
Instagram.com/tizneez
Twitter.com/tizneez
fid