FID Q “FIDSTYLE FRIDAY IPO LIKIZO HAIJAFA”

IMG_3345

Chagua moja, Mwanza Mwanza,Agost 13,bongo hiphop hizi ni baadhi  ya ngoma zake mkali Fi Q ambaye amejijengea heshima kubwa katika mziki huu wa hiphop hii yote ni sababu ya kusimama katika misingi ya hiphop.

Fid Q pia amewahi kufanya kipindi chake cha Tv ambacho kiliitwa Fidstyle Friday ambacho kilihusisha wasanii wanaofanya muziki huo, licha ya wasanii kuonyesha uwezo wao wa kuchana pia kilikuwa kipindi chenye kusukuma zaidi muziki wa hiphop hapa nchini

Mapema leo Fid q hakusita kueleza kuhusu kipindi hicho ambacho alisema”Cheusi dawa ni kampuni na Fidstyle ni kipindi bado hakijafa bado kipo likizo,na likizo bado ni ndefu na inaweza kukatishwa kama demand ikiwa kubwa.”

#cc www.tizneez.com

instagram @tizneez

twitter @tizneez

facebook@tizneez

Source Twitter.