FID Q AMPONGEZA DIAMOND PLATNUMZ

IMG_3355

Fid q ni moja kati ya wana hiphop wenye uwezo mkubwa tulibarikiwa kuwa nao Tanzania.Ngosha the don ambaye pia ni miongoni mwa wasanii wanaopenda kuwa wazi katika kitu chochote kile iwe kukosoa au kusifia.

Ni siku mbili zimepita tangu kuachiwa kwa ngoma ya utaipenda ya mkali Diamond Platnum ambayo imeonekana kuwashangaza walio wengi kulingana na ujumbe ulioko na hata video kumuhusisha mama yake mzazi.

Fid Q kupitia  mtandao wa Twitter hakusita kueleza hisia zake juu ya Diamond Platnumz ambapo aliandika”TW