FID Q AJULAUMU KWA MAAMUZI YAKE

f
Hip hop star Fid q ambye anawakilisha vyema Jiji la Mwanza,mkali aliyefanya hits songs kama chagua moja,mwanza mwanza,ielewe mitaa,proffessional,propaganda.bongo hiphop pamoja na nyingine nyingi.
kupitia mtandao wa Twitter Fid q hakusita kuwekawazi hisia zake juu ya album yake ya kwanza ambapo aliandika “Sometimes huwa ninajilaumu kwanini nilimkazia mdosi asitoe CD za album yangu ya kwanza.. #VinaMwanzoKatiNaMwisho na kuiacha kwenye tape tu”aliandika.
Mwisho
Piga kura linda amani.#tiznnez.com
Facebook.com/tizniz

Twitter.com/tizneez

Instagram/ tizneez