FID Q AFAFANUA KUITWA MSANII CHIPUKIZI

maxresdefault

FID Q AFAFANUA KUITWA MSANII CHIPUKIZI

Walk it off ni ngoma yake inayofayan vizuri ndai na nje ya nchi, Ngosha The don ambaye ni mkali wa mashahiri na flow ambaye pia amefanikiwa kuwashika vijana walio wengi wenye mapenzi na rap music.

Fid Q hakusita kufafanua yeye kuitwa msanii chipukizi katika kituo kimoja kikubwa cha Television.Ambapo Fid Q alisema “Kuitwa up coming artist sio jambo baya naweza kuwa up coming kwao wao, licha ya kuwatumia biography hivyo nimegundua hawasomi au hawajasoma kile nilichowatumia.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez