Fid Q Achambua wimbo wake wa “Walk it off”

Screen-Shot-2014-11-09-at-2.25.14-PM

Ni moja kati ya wasanii wachache ambao wamesimamia misimamo ya hiphop maana kumekuwa na kundi kubwa la wasanii wa hiphop walioamua kubadilika kwa kusema hiphop haiuzi.

Walk It Off ni wimbo wake uliotoka mwaka huu ambao amemshirikishan Taz . Ila ni wimbo ambao ametumia lugha ya kingereza, hivyo hakusita kushare na mashabiki wake katika kutoa uchambuzi makini zaidi juu ya wimbo huo.

Msikilize hapa chini Fid Q akizungumzia wimbo huo.