“Faida na hasara za mahusiano kwenye muziki”Nuh Mziwanda

IMG_9442

“Faida na hasara mahusiano kwenye muziki”Nuh Mziwanda

Jike shupa ni wimbo wake aliomshirikisha Ali Kiba ambao ni wazi sasa unafanya vyema katika vituo vya radio hapa nchini.

Nuh Mziwanda ambaye alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake Shilole, ambapo mapema mwaka huu mapenzi yao yalifika tamati na kila mmoja kuishi maisha yake mengine.

Nuh mziwanda hakusita kuweka wazi faida na hasara za kuwa na mpenzi msanii na kuweka wazi mahusino yako wazi. Ambapo alisema ‘Mahusiano yana mambo mengi ila yanaweza kukupandisha au kukushusha, kwa upande wangu haikuwa na faida ya kuweka wazi. Na pia sipo tayari sasa kuweka mahusiano yangu wazi. Alisema.

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

 

 

 

 

 

 

Source Ladha 3600 Efm Radio