Fahamu wasanii 10 waliofanya shoo bora Tigo Fiesta Sumbawanga

Fahamu wasanii 10 waliofanya shoo bora Tigo Fiesta Sumbawanga.

5.10.2018 ni muendelezo wa Tigo Fiesta 2018, ambapo Sumbawanga ni mahala ambapo jana tamasha hili lilifanyika.

Na ahadi yetu ni kuwa tutakuwa tukieleza namna ya wasanii 10 ambao watakuwa wamefanya shoo zenye ubora.

Na tutakuwa tunaweka listi hii bila kujali nani ni nani isipokuwa kiwango kamili cha ufanyaji wa shoo katika ubora.

Na jana ambao wamefanya shoo vyema ni

1. Fid Q
2. Weusi
3. Barnaba
4. Whozu
5. Ben Paul
6. Maua Sama
7. Nandy
8. Chege
9. Nedy Music
10. Marioo

Zingatio la namba ni muhimu zaidi, na sababu ya kueleza haya kila shoo ya Tigo Fiesta tangu kuanza kwake ni upana wa ukubwa juu ya tamasha hili.

Pongezi kwa wasanii ambao wamefanya vyema, hakika nguvu ya muziki wenu imeonekana.

#TuzungumzeMuziki