FAHAMU NYIMBO ZILIZOSIFIWA NA BASATA

basataLOGO

FAHAMU NYIMBO ZILIZOSIFIWA NA BASATA

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kupitia ukurasa wao wa Twitter ambao mara nyingi wamekuwa wkaipost mambo mabalimbali yenye kutia moyo wasanii wote ambao wameendelea kuitumikia sanaa hapa nchi.

Mapema BASATA walipost post Maudhui bomba wakiwa wameweka hashtag ya #MAUDHUIBOMBA, Credit given, Turejee na baadae kuanza kupost nyimbo zenye maudhui bomba.

Wimbo wa kwanza kupostiwa ulikuwa ni wa Ferooz feat Prof jay wimbo huo ni starehe. MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #Mjomba by MrishoMpoto Ft. Irene Sanga, Msangi #CreditGiven #Turejee, #MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #TangaKunani by Wagosi wa Kaya #CreditGiven #Turejee, #MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #BongoDaresSalaam by ProfessorJayTz Ft. JideJaydee #CreditGiven #Turejee

Hata hivyo BASATA hawakushia hapo, waliendelea kutoa post zao kwa wasanii wengine ambao ni, #MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #ChemshaBongo by ProfessorJayTz #CreditGiven #Turejee, #MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #Mtazamo by ProfessorJayTz , afandesele_king & solothang #CreditGiven #Turejee, MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #YoteMaisha by @Madeeseneda Ft. @P_Majani #CreditGiven #Turejee, MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #WanawakenaMaendeleo by #Vick Kamata #CreditGiven #Turejee

BASATA hawakuacha pia kusifia wimbo wa #MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #AlikufaKwaNgoma by MwanaFA Ft. JideJaydee #CreditGiven #Turejee, MAUDHUIBOMBA Wimbo wa Tshirt & Jeans by #UniversityCorner (UVC) #CreditGiven #Turejee, MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #MshkajiMmojaHivi by Joslin kutoka #WakaliKwanza #CreditGiven #Turejee, MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #AnaMiakaChiniya18 by Joseph Mbilinyi #Sugu #CreditiGiven #Turejee, MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #Darubini by @afandesele_king Ft. MC Coba, Dogo Ditto – @Lameckditto (Watu Pori) #CreditGiven #Turejee, MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #SautiyaManka by Gwamaka Kaihura (King Crazy GK) #CreditGiven #Turejee, #MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #MademuWatafutaji by @AyTanzania #CreditGiven #Turejee,

MAUDHUIBOMBA wimbo wa #Adella by @MrishoMpoto Ft. Ismail (Mjomba Band) #CreditGiven #Turejee, MAUDHUIBOMBA wimbo wa #WanaumeKamaMabinti @JideJaydee #CreditGiven #Turejee, MAUDHUIBOMBA wimbo wa #Msinitenge by @ProfessorJayTz Ft. Q Chillah (Zuberi Katwilla- Q Chief) #CreditGiven #Turejee, MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #Walimu by WagosiWaKaya @MgosiMkoloni #CreditGiven #Turejee, Baraza la Sanaa@BasataTanzania 4h4 hours ago

#MAUDHUIBOMBA Wimbo wa #UmojaNiNguvu by #Kikosi cha Mizinga #CreditGiven #Turejee

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez