Fahamu nyimbo 5 anazozikubali Chid Benz.

index

Fahamu nyimbo 5 anazozikubali Chid Benz.

Ni katika kipindi cha Playlist kinachoongozwa na Omary Tambwe katika kituo cha radio Times Fm. Kipindi hiki huwapa nafasi watu maarufu kuchagua nyimbo 5 anbazo kwao ni pendwa.

Wiki ilikuwa zamu ya Chid Benz ambapo amehagua nyimbo zake 5. Ambazo ni

5. Piga Makofi ya Prof Jay
4. Famous ya jaymoe
3. Hao ya mwasiti
2. Yote Maisha ya madee
1. Mboga Saba ya mr blue

Katika ngoma zake zote anazozikubali ni Dar es salaam Stand Up.

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez