FAHAMU NYIMBO 3 BORA ZA HIPHOP TOKA KWA NCHA KALI

REUBEN

Ncha Kali ambaye aliwahi kuwa mtangazaji mkubwa hapa Tanzania,licha ya kukacha kazi hiyo lakini bado ameendelea kutoa ushirikiano na wasanii katika kuendeleza muziki wa bongo fleva/hiphop.

Ncha Kali mara nyingi amekuwa akiandika mitazamo mingi na mizuri inayoweza kujenga huu mziki wetu. Kupitia mtandao wa Twitter Ncha kali hakusita kutaja ngoma zake 3 za hiphop kutoka hapa Tz. Pale ambapo tema tizneez ilimuuliza kupitia mtandao huo wa Twitter”gh

cc# www.tizneez.com

instagram@tizneez

twitter@tizneez

facebook@tizneez