Fahamu mtazamo wa Nikki Mbishi juu ya Madee.

Fahamu mtazamo wa Nikki Mbishi juu ya Madee.

Nikki Mbishi ni moja kati ya wasanii wa hiphop ambao wamekuwa ni wenye misimamo zaidi kuliinganisha na wengine.

Lakini pia wimbo wake wa Im sor Jk ndio umekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii. Kwa sasa Nikki Mbishi amekuwa ni moja kati ya wasanii wachahe ambao wamekuwa wakiandika mambo mengi katika mtandao wa Twitter.

Nikki hakuwa mzito kutoa mtazamo wake juu ya msanii Madee mara tu baada ya kutoka kwa wimbo wa Hela ambao ni wimbo wa Madee.

Kupitia mtandao wa Twiiter Nikki Mbishi ameandika “Madee game inazidi kumkataa tu…. Hahaha!” Lakini hata team tizneez tuliandika kuhusu Madee “Msitu mnene haukosi vibweka” Madee

Je wewe shabiki unakubaliana na hilo? Tupe maoni yako hapa chini

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa