Fahamu msanii wa kwanza wa kike kufanya kazi na Wakazi na ujio wa Ray C.

Fahamu msanii wa kwanza wa kike kufanya kazi na Wakazi na ujio wa Ray C.

Mtikila Mixtape ndiyo mixtape pekee inayofanya vyema katika kila kona ya vijiwe vya hiphop.

Wakazi ndiye mmiliki halali wa Mtikila Mixtape, lakini pia wimbo wake wa sijuti remix akiwa na Ruby ni wimbo wake ulioweza kufanya vyema katika vituo vya radio na runinga vya ndani na nje.

Mapema Wakazi hakusita kumwambia mwandishi wetu juu ya msanii wa kike wa kwanza kufanya nae kazi hapa nchini Tanzani, ambapo Wakazi amesema “msanii wa kike wa kwanza kufanya nae ni Jokate, akaja Grace Matata (haijatoka), akaja Ruby, alafu Layla, Ayler, na Ray C ndiye anaefuata sasa.

 

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Attachment