Fahamu moja ya wasanii wachache anaowasikiliza Mh NB Kigwangalla.

Fahamu moja ya wasanii wachache anaowasikiliza Mh NB Kigwangalla.

Mapema leo Mh Naibu Waziri wa Afya jinsia na wanawake na watoto Mh Hamisi Kigwangalla hakusita kuweka wazi hisia zake juu muziki wa kizazi kipya, Na hata kuamua kudiliki kumtaja moja kati ya wasanii wachache ambao huwasikiliza.

Kupitia mtandao wa Twitter Mh Kigwangalla ameandika “Huwa nasikiliza wasanii wachache sana wa Bongo flavour, Fid Q ni mmoja wapo, sababu anajua kutunga mistari na ana attitude ya hip-hop”

Tazama Tweet yake hapa chini

Mwisho.

 

Attachment