Exlusive:Nandy akiri ni yeye kwenye video inayomuonesha akiwa faragha na BillNass.

Kumekuwa na sintofahamu kwa mashabiki na wasanii ya kusambaa kwa video imuonyeshayo Nandy na Billnass wakiwa faragha.

Video hiyo ilianzia kwenye mtandao wa picha instagram na baadaye WhatsApp.

Team tizneez imemtafuta Nandy na Billnas ili kuthibitisha hilo.

Na Nandy aliweza kupatikana kwa njia ya simu na kuthibitisha hilo. Lakini Bill Nass hakuwa ni mwenye kupatikana kwenye simu.

Msikilize hapa Nandy akieleza.

 

Attachment