#Exlusive Godzilla Aeleza hisia zake juu kupandiswa Billnas na kushushwa kwake.

Kumekuwa na mijadala mingi katika vijiwe vya wapenda muziki wa kizazi kipya katika upande wa kivuli cha rap. Mada kubwa ni Zizi na Billnas ambapo wengi wamekuwa wakisema kuwa sasa ni wazi Godzila ameshushwa na kupandishwa Billnas.

Team tizneez haikusita kumtafutaGodzilla kulitolea ufafanuzi jambo hili. Ila katika uhalisia amezungumza mengi hivyo tumeona tuweke kwa pamoja hapa ili jamii ya wapenda muziki pia wajue nini ni nini.

Msikilize hapa chini Godzilla.