Exlusive! Fid Q atoa ufafanuzi juu ya list ya wasanii 10 wa hiphop Tz

Siku moja imepita tangu kituo cha Mtv kutangza orodha ya wasanii 10 wa hiphop kutoka Tz, Team Tizneez haikusita kuzungumza na Fid q ambaye ndiye msanii namba moja katika orodha hiyo ambapo alikuwa na mtazamo huu.