Exclusive!Ruby aweka wazi mkataba wake wa show ya Fiesta ulivyokuwa.

TYXG9Iwk

Exclusive!Ruby aweka wazi mkataba wake wa show ya Fiesta ulivyokuwa.

Kumekuwa na hoja nyingi juu ya swala la Ruby ambalo ni wazi limechukua hisia za watu wengi wenye mapenzi na muziki wa kizazi kipya.

Wengi wamekuwa wakihoji kama alionekana akisaini mkataba kwanini ashindwe kwenda kufanya show pia kwanini aseme hakuna maslahi ilihali ameonekana akisaini mkataba huo.

Siku ya mkataba alioneka akisaini mkataba huo mbele ya mtangazaji Hamis Mandi maarufu Bdozen na mwakilishi kutoka kampuni ya Tigo Hamza Balla maarufu kama Sir Balla.

Msikilize chini hapa akielezea mkataba huo

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

Source Seth.