Exclusive!Belle 9 Azungumzia taarifa zinazosambaa kuhusu kujiunga na Wcb

belle-9-nakupenda

Exclusive!Belle 9 Azungumzia taarifa zinazosambaa kuhusu kujiunga na Wcb

Mapema leo kumekuwa na taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu Belle 9 kujiunga na Label ya msanii Diamond Platnumz Wasafi Classic Baby (wcb).

Team Tizneez haikusita kumtafuta Belle 9 ili kujua ukweli uko wapi katika hili, ambapo moja kati ya vitu alivyosema ni kushangazwa na watu wa blog kuandika mambo yanayobase kwenye upande wao kwa manufaa yao.

Msikilize Belle 9 hapa chini kwa urefu zaidi.

Mahojianio haya yamefanyika kwa njia ya simu.