Exclusive! Wakazi atoa wimbo kumdisi Godzilla

Ugomvi wa wasanii wawili wa Bongo Hip Hop Wakazi na Godzilla, unaendela kuchukua sura nyingi baada ya Wakazi kuingia studio na kurekodi wimbo wa kumkashifu Godzilla. Wimbo ambao wakazi ameuweka katika channeli yake ya Youtube tarehe 15/Juni/2017.