Exclusive! Sababu ya Ruby kutopanda jukwaa la Fiesta Mwanza, asisitiza swala la maslahi

 

Exclusive! Sababu ya Ruby kutopanda jukwaa la Fiesta Mwanza, asisitiza swala la maslahi

Jana ndio ilikuwa ni ufunguzi wa tamasha la Fiesta ambalo hukutanisha wasanii wengi katika tumbuizo  moja. Ruby ni moja kati ya wasanii ambao walipata usajili wa kufanya tumbuizo hilo katika Jiji la Mwanza.

Lakini mpaka jana mida ya sa 1.00 kamili usiku wakati mbwembwe za Fiesta zikiendelea katika Jiji hilo la Mwanza  Ruby alikuwa maeneo ya Cape Town Fish Market Masaki Jijini Dar es Salaam.

Team tizneez haikusita kuzungumza juu ya uwepo wake katika eneo hilo ilihalali alikuwa ni moja ya wasanii walipaswa kushiriki katika tumbuizo la Fiesta huko Mwanza.

Ruby hakusita kuweka wazi mambo mengi ambayo yametokea juu yake ambapo amezungumza na mifano mingi kama ya Lady jay dee pamoja na wasanii wote kwa ujumla bila kuacha kusema maslahi yamefanya ashindwe kudhuria tumbuizo hilo “Siwezi fanya Fiesta for nothing”

Msikiliza hapa chini kwa urefu zaidi.