Exclusive! Peen Lawyer Aeleza undani wa tatizo juu ya Rama Dee, Weusi na Young Killer.

Exclusive! Peen Lawyer Aeleza undani wa tatizo juu ya Rama Dee, Weusi na Young Killer.

Jina la Peen Lawyer huenda likawa geni katika masikio ya wengi sasa, ila moja kati ya watu wachache ambao walishiriki vyema katika kuweka mambo sawa kwenye muziki wa kizazi kipya mwaka 2010.

Peen Lawyer maarufu kama Kinegax ambaye ndio aliyekuwa kinara wa kusambaza Mixtape ya Ant Virus kuanzia vm 1 mpaka II ambaye sasa anaishi nchini Ujerumani.

Baada ya kuandika katika mtandao wa picha msanii Rama Dee Team tizneez imemtafuta Peen Lawyer na kuzugumza nae,

Sikiliza hapa chini

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Attachment