Exclusive!! Afande Sele azungumza baada ya kudaiwa Babu Tale kumtishia maisha.

555070_10151873754914345_1046577893_n

Kwa mujibu wa Afande Sele alisema Babu Tale alimpigia simu na kumwambia atampiga makofi pia kumtishia maisha baada ya Afande kuandika katika mtandao wa Facebook wa Afande Sele TheKing ambapo ameandika
“Inawezekana faini ya sh million mia mbili hamsini alizoamriwa babu tale na mahakama kuu ya Tz amlipe yule sheikh mwenye madai dhidi yake Tale na nduguye ni ndogo sana kwao ukizingatia yeye Tale ndio meneja wa wamiliki wa bongofleva kwa sasa lkn ukweli ni kwamba pesa yeyote inayotoka bila kuingia wala kutarajia inauma sana,pole sana wakunyumba Babu Tale naamini haya ni mapito ktk maisha na yatakwisha ingawa upande wa pili ni mafunzo kwetu wengine tunaojiona na kujiita wajanja wa mjini kuwa sheria ni msumeno na mahakama ni kama nyoka usimdharau kwa udogo wake wa umbo au umri,wote wanasumu na sumu humuua yeyote!”

Afande amezungumza na Team tizneez Ambapo amesema mengi kuhusu Babu Tale

Msikilize hapa chini.

Endelea kuwa karibu na www.tizneez.com kujua kile ambacho amekisema Babu Tale muda mfupi ujao.