Exclusive! Adili Chapakazi Aeleza chanzo cha ugomvi wake na Wakazi na vile anavyomchukulia

Capture

Kumekuwa na vita ya maneno kati ya wasanii wawili wa hiphop Wakazi na Adili Chapakazi. Vita hiyo ambayo chanzo chake ni kutoka kwenye group la WatApps la wasanii wa hiphop na hatimaye ikafika mpaka kwenye mtandao wa picha “Instagram”

Team tizneez imezungumza na Adili ambapo ameeleza chanzo cha ugomvi huu ambapo amesema ”

Msikiliza hapa chini Adili akizungumza.

Pia Adili hakusita kuweka wazi vile ambavyo anamchukulia wakazi na kumuona

Msikiliza hapa chini Adili akizungumza.

Huyo ni Adili Chapakazi.

Team tizneez Inaendelea kumtafuta Wakazi ili aweze kueleza sakata hili.

Endelea kuwa nasi ufahamu zaidi.