Esha Buheti Sijataka kiki kwa tukio la Ray c.

maxresdefault

Esha Buheti Sijataka kiki kwa tukio la Ray c.

Ni mdada toka kiwanda cha bongo muvi ambaye alikuwa mtu wa kwanza kuandika mkasa wa Ray C uliotokea pale Kinondoni.

Wengi wamekuwa na tafsili tofauti juu ya yeye kuandika waraka juu ya tukio hilo, ila wengi wamekuwa wakiendeleza mjadala huko katika magroup ya WhatApps pamoja na mtandao wa picha Instagram.

Team tizneez haikusita kumtafuta Esha Buheti akiongea kwa njia ya simu amesema “ Niliamua kupost ili kujua nitapata support gani au tutasaidiwa vipi. Tukitaka kumsaidia mtu tusifiche maovu yake watanzania tunakosea. Siwezi kuzuia hisia za watu. Na sijafanya kupata kiki au kiki ina msaada gani katika maisha yangu?

Ray C sasa yupo Sober maeneo ya Bagamoyo na Team tizneez inamtakia kheri ya kurudi katika afya yake njema.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez