DULLY SYKES “WEMA SEPETU NI MALKIA WA TASNIA YAO”

977e3b93e01a551ebe886696645742ba
Dodoma ni wimbo wake mpya aliotoa mapema leo,Dully Sykes ambae ni miongoni mwa wasanii wanzilishi wa muziki wa bongo fleva,ambaye ameweza kuwepo mpaka sasa katika muziki huo na kuendelea kufanya vizuri zaidi.
Dully Sykes alifafaua kwanini amemtaja Wema Sepetu katika wimbo wake Ambapo Dully alisema “Wema Sepetu nI mwanangu kwanza huwa ananiita Dady na pia nampenda kama mwanagu,So nimeamua kumpa heshima tu ya kumtaja katika wimbo wangu.Hata hivyo Wema Sepetu ni malkia wa tasnia yao ya sanaa.Kwaiyo niliamua tu kumtaja hakuna kingine”Alisema
Source.The Jump Off
Facebook.com/Tizniz
Instagram.com/tizneez
Twitter.com/tizneez.