DULLY SYKES USO KWA USO NA YAMOTO BAND

10012439_937781559572246_2072180109_n

King wa bongo fleva Dully Sykes anaefanya vizuri na ngoma yake ya shuka kwenye chati mbalimbali za tv na radio hapa nchini Tanzania.

Dully ambaye kwasasa ameamua kuja tena na utofauti wa juu kama ilivyo kawaida yake, Ambapo ameamua kufanya kazi na Yamoto Band.Dully amesema “Vijana wanafanya vizuri sasa kwanini nisifanye nao kazi?,na wimbo huu wameandika wao Yamoto Band mpaka sehemu niliyoimba wameandika wao.Nimefanya hivyo kupata radha tofauti.

Kaa karibu na tizneez.com uwe wa kwanza kupata kusikia kazi hii.

Mwisho
Piga kura linda amani.#tiznnez.com
Facebook.com/tizniz

Twitter.com/tizneez

Instagram/ tizneez