DULLY SYKES “AZUNGUMZIA WASANII WASIOTAKA KUANDIKIWA NYIMBO”

dully+clip
Bongo fleva icon Mr misifa Dully Sykes ambae ni miongoni mwa wasanii wanongoza kwa kufnya hits songz nyingi katika muziki huu wa bongo fleva.
Dully ambaye usiku wa jana ameachi kibao chake cha “tuache”alichofanya na Yamoto Band.Wimbo huo wa tuache ni wimbo ulioandikwa na vijana wa kundi la Yamoto Band.
Dully hakusita kueleza wazi juu ya kitendo cha kuandikiwa wimbo huo ambapo alisema”Watu hawajui tu huu sio wimbo wa kwanza mimi kuandikiwa ni wimbo wangu wa pili.Na kama msanii hutaki kuandikiwa ujue wewe sio manii maana hata Michael Jakson amewahi kuandikiwa.Dhahabu n wimbo wangu wa kwanza kuandikiwa aliandikia Jay c zile versr zangu zote aliandika huyu jamaa.
Kwahiyo huu wimbo wa tuache umeandikiwa na yamoto band me nilichofanya ni kutengeneza mdundo na kuingiza sauti basi.”alisema
twitter@tizneez
instagram@tizneez
source Fnl