DUDU BAYA AMTUKANA SHETTA (VIDEO)

dudubaya3

Katika hali isiyo ya kawaida video imemuonyesha Dudu Baya akimtukana matusi ya nguoni msanii Shetta ambaye tatizo hilo kati yao linaendela kukua siku baada ya siku. Sababu kubwa ya ugomvi huu ni matumizi ya jina la Mamba ambalo Dudu amewahi kulitumia miaka kadhaa iliyopita na sasa Shetta kujiita miaka hii.

Tazama video hii chini hapa

 

www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez