Domakaya Ashangazwa na uvumi wa kutengena na Mandojo.

images

Domakaya Ashangazwa na uvumi wa kutengena na Mandojo.

Nikupe ni moja kati ya nyimbo zao zilizowahi kufanya vyema katika ramani ya muziki wa kizazi kipya.

Domakaya aliweka wazi ukweli kuhusu yeye na Mandojo ambapo amesema “Nani kasema sisi tumetengana? Au kisa nimefanya wimbo peke yangu? Si mara moja kufanya wimbo peke yangu. Na kufanya wimbo peke yangu haimaanishi nimetengena na Mandojo.”

Sisi tupo pamoja na hatujaamua kufanya kazi kwa sasa ila tunajua kwenye muziki huu hakuna ambaye anaweza kusound kama sisi.

Watu wasubiri mambo mazuri yanakuja zaidi.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez