DOGO JANJA NI KUTAFUTA KICK?

images

DOGO JANJA Ni KUTAFUTA KICK?

Ya moyoni ni wimbo wake ulizungumza mengi katika maisha yake ya muziki, na wakati huo alikuwa chini ya uongozi wa Ustadh Juma na Musoma, baada ya ugomvi wake na Madee ambaye inasemekana alikuwa meneja wake akisaidiana na Babu Tale.

Miezi kadhaa ikapita ndipo pale Dogo Janja aliporudi kundini Tiptop kuungana na wakali aliokuwa nao mwanzo. Tangu arudi kundini mpaka sasa ni muda mrefu umepita bila kusikika na kazi yoyote ile (wimbo).

Na mapema leo Tizneez.com imepata audio iliyobeba mazungumzo kati msanii Dogo Janja na msichana ambaye hakufahamika kwa jina. Kati ya mengi aliyoongea ni pia swala la kusema Babu Tale, Tunda na Madee wanambania ili wampoteze kimuziki, je ni kweli au anatafuta kick?

Sikiliza audio yake hapa chini. aliyozungumza mengi zaidi

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez