“Dogo Janja naishi nae kama ninavyoishi na rafiki yangu wa kike” Nandy

“Dogo Janja naishi nae  kama ninavyoishi na rafiki yangu wa kike” Nandy

Nagusa gusa ni wimbo wake uliomtambulisha vyema katika ramani ya muziki wa bongo fleva.

Kwa sasa Nandy amekuwa  akizungumziwa zaidi katika mitandao ya kijamii,hasa mtandao wa picha Instagram.

Jambo kubwa ambalo limekuwa likizungumziwa zaidi ni kuwa na mahusiano na msanii Dogo Janja. Kupitia kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV, Nandy aliweka wazi ambapo amesema “Dogo Janja he is my real nigger, na naishi nae kama ambavyo naishi na rafiki yangu wa kike.

Sina mahusiano nae,na pia nipo katika mahusiano na mtu wangu sio msanii. Na Dogo nina uwezo wa kumwambia lolote lile kama linawezekana .

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Attachment