DJ ATOA MALALAMIKO KWA HARMONIZE

index

DJ ATOA MALALAMIKO KWA HARMONIZE
deejaykflip NI dj wa Jembe Fm iliyoko Jijini Mwanza,Ambapo kupitia mtandao wa picha Instagram ametoa malalamiko juu ya msanii chipukizi Harmonize ambaye yuko chini ya WCB ambayo inaongozwa na msanii Diamond Platnumz.
Deejaykflip ameandika “Sijawahi kuacha show ya msanii yeyote hewani ila Jana I did manake Harmonize aliniita DJ ANAEZINGUA na kwenye historia yangu sijawahi kuitwa hivyo na waliokuepo ilikua Kama ushahidi maana hata Diamond Platnumz nimemdj ila hakunifanyia Kama alivyofanya Harmonize nimefanya shows na artist wengi wakiwemo #WEUSI for 4 years Teknomiles Iamseyishay Robertozambia Redsan Joh Makin Izzo Biznesss Godzilla Barakah da princeGnako na wengine wengi sjawahi kumzingua artist especially upcoming kama wewe Harmonize
www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez