DIRECTOR KHALFAN AMUANDIKIA UJUMBE GIHCUE

Director Khalfan ni moja kati ya wale madirector chipukizi wanaofanya vyema sasa katika upande wa utengenezaji wa video. Hakika upande huo umeendeela kuwa na changamoto ya kuibuka kwa director’s wengi ambao ni wazi wanafanya vyema. Huwezi kutaja majina ya waongozaji wanaofanya videos hapa Tz bila kumtaja Gihcue, burger movies selfie,Bongo land hizi ni moja kati ya kazi zake ambazo zimemfanya apate hseshima kubwa sasa katika upande wa utengenezaji wa videos.
Kupitia mtandao wa picha Instagram Director Khalfan aliandikia, ambapo ameandika ”
Kila k2 kina mwanzo mdogo, na ww umekua na mfano mzuri, naomba mungu akujalie na atujalie nguvu tuendelee kufanya vtu vizuri na kufikia malengo big up sana brudda heshma kwako.
@gihcue @gihcue @gihcue