Diamond Platnumz Aweka wazi kuvunjika kwa show yake Dallas Texas

p031h93x

Kupitia mtandao wa picha Instagram msanii Diamond Platnumz aweka wazi kile ambacho kimechangia show yake kuvunjika.

Ambapo Diamond Ameandika “Hii likuwa show yetu ya Juzi 28th May Dallas Texas… Ila ilibidi show hii isitishwe njiani kwakuwa watu walijaa sana kupelekea wengine kukosa tiket na Kubaki milangoni, na hata walio kuwa ndani kukosa nafasi na Mbanano uliopelekea vurugu na Kushindwa kuendelea na Performance…. Hakika Muziki wetu umekuwa sasa Ndugu zangu Waandaaji Nafikiri Mtuongeze Kumbi kubwa zaidi Watu waweze Kuburudika vya kutosha!

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez