Diamond Platnumz Aweka tangazo lake rasmi.

p031h93x

Diamond Platnumz Aweka tangazo lake rasmi.

Kumekuwa na hali ya kupost picha akiwa na P square kwa muda mrefu kupitia mitandao ya kijamii hususani “Instagram”

Mapema leo msanii Diamond Platnumz hakusita kuweka tangazo lake rasmi ambapo ameandika kupitia mtandao wa picha “Instagram”

Ameandika “Damn! am Smelling a Hit!!! subscribe on my Youtube Channel now named DIAMONDPLATNUMZ so that you can be the first Witness! Cc @peterpsquare @rudeboypsquare #SiMbaKaseMa

Tufuate katika mitandao yetu ya kijamii uwe wa kwanza kupata hii.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez