Diamond Platnumz Atoa msaada kwa watoto wenye matatizo ya kichwa.

Capture

Diamond Platnumz Atoa msaada kwa watoto wenye matatizo ya kichwa.

Mapema leo kupitia katika mtandao wa picha Instagram msanii Diamond Platnumz alishare picha ambayo ilimuonyesha akiwa katika makabidhiano ya hundi kwaajili ya kusaidiwa watoto wenye matatizo ya vichwa.

Diamond Platnumz ameandika “Moyo wangu unaniambia nisingeshikwa mkono ama kusaidiwa na watu basi nami nisingeweza leo hii kufikia hatua hii ndogo niliofikia… na ndiomaana #kidogo nikipatacho huwa napenda kusaidia wenzangu….. Leo Mapema nilitembelea ofisi za @GSMfoundationtz kuwasilisha kidogo tulichobarikiwa kwa niaba ya @wcb_wasafi kwajili ya kusaidia watoto wenye matatizo ya Vichwa vikubwa (Bobble Head Syndrome) na Mgongo wazi”

Huu ni mfano mzuri wa kuigwa na watu wengine wote katika kujitoa kusaidia wengi wenye matatizo mbalimbali.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez