Diamond Platnumz Atoa dili la milioni 5

Capture

Diamond Platnumz Atoa dili la milioni 5

“NIKO na MILIONI 5 Cash Mkononi kwa kikundi kitachotuma clip ya kudance #KIDOGO sawia haswaaaa!!! yani sio kiwasiwasi waue Haswaaaa……. tena wamix na style zao wenyewe… Narudia tena Wauwe haswaaa!!!… haya wapigie simu wanao Mjipange kesho Mtume clip kwa namba hii +255654019091 na mkisha tuma mpandishe insta na kuhashtag neno #KIDOGO …. na kesho hiyo ntatangaza Mshindi Anapatikanaje”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez