DEDDY AWAPA HESHIMA ZAIID NA PTHEMC

11349397_1524317501218096_1033116363_n

DEDDY AWAPA HESHIMA ZAIID NA PTHEMC

Deddy ni moja kati ya wasanii walikuwa wakiunda Bhits Group ambalo katika Group hiyo kulikuwa na wasanii kama Mabeste, Vee Money, Mrap, Gozb na wengine wengi.

Deddy ambaye sasa anaendelea na shughuli zake za muziki akiwa kama msanii anaejitegemea, mapema aliambia team tizneez “Nimesikilzia mixtape nyingi ila Mixtape ya Zaiid na Pthemc Mwenge Kiwalani ni mixtape ambayo huwezi kurusha wimbo kuanzia mwanzo mpaka mwisho, kiukweli ni mixtape kubwa binasfi nawapa heshima kwa kazi ile.”

Deddy aliongea hayo akiwa katika studio ya Classic Sound ambapo alikuwa akirekodi jingle za kipindi kipya cha 3600 kitakachokuwa kinaongozwa na Jabir Saleh katika kituo cha radio Efm.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez