DAZ BABA “JE KWELI UBINAFSI UNAUA MAKUNDI?

1442303705-wife

Elimu dunia ni albam yake iliyotoka 2004 ilyotengenezwa na mkali P Funk Majani chini ya Bongo Records, ambayo ilikuwa na nyimbo kama Namba 8,Elimu dunia,Usihukumu,Nipe tano,Wife, na nyingine nyingi.

Daz ambaye pia alikuwa anaunda kundi la Daz Nundaz akiwa na wenzake kama Ferooz, Sajo.Critik,na Larumba.Ila  Kamanda, Barua, Shuka rymes, Maji ya shingo,Matatizo, hizi ni baadhi ya nyimbo walizowahi kufanya na zilifanya vizuri kwa wakati huo.

Mapema leo Daz Baba aamesema”Kilichoua makundi yaliyomengi hapa Tanzania ni ubinafsi,”

Je kweli makundi yanavunjika kulingana na ubinafsi? tupe comment yako hapa

Instagram tzineez

Twitter tizneez

Facebook tizneez

 

 

source Planet bongo