Dayna Nyange Aeleza maana ya komela, kufanya kazi na Bill Nass na safari ya kimataifa.

1456394852_6637_b

Komela ni wimbo wake unaofanya vyema sasa katika vituo vya radio hapa nchi. Dayna Nyange ameileza Team tizneez maana ya komela, jinsi alivyoweza kumshirikisha BillNas pia maandalizi ya kwenda kimataifa na mengine mengi msikilize hapa chini.