DARASA NIMESHAPATA UFUMBUZI WA MUZIKI WANGU

darasa

Sikati tamaa ni nyimbo iliyoweza kumtambulisho katika ramani ya muziki wa hip hop hapa inchini Tanzania.Darasa ambae kwasasa anafanya vizuri na wimbo wake wa heya haye aliyomshirikisha Mr Blue.

Darasa,akiongea kwenye kipindi cha The jump Off kinachoongozwa na Jabir Saleh ndani ya Times fm alisema ”tatizo langu kubwa katika muziki huu ni video,nimekuwa nikitoa ngoma kali ili zimekuwa zinakosa video kwaiyo nakuwa sipo on point.Sasa nimeshapata ufumbuzi wa muziki wangu,na sasa nina kuja na video mbili kwa wakati mmoja.Watu watu wakae mkao mzuri maana sasa nina sapoti nzuri na yakutosha mimi kufanya vitu vizuri.

Mwisho

Unaweza kuwa rafiki yetu

facebook.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/teamtizneez