Darasa Aeleza adui wa muziki wa hiphop

Capture

Darasa Aeleza mambo yanayoangusha muziki

Too much ni wimbo wake unaendela kushika kasi katika kila kona ya wapenda muziki wa hiphop.

Darasa hakusita kuweka wazi mambo kadhaa yanaangusha muziki wa hiphop kila leo. Ambapo alisema “Kwanza kabisa hatuna utamaduni wa kuwa pamoja tangu awali yani umoja sio asili yetu. Ila pia watu hawako real tunakaa wote pamoja ila hatuna upendo lakini adui ni mmoja tu yani umoja.

Pia tusikae makundi kulaumu tufanye kazi kali unajua tukiwapa kazi nzuri muziki mzuri watapenda tu hawa mashabiki.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez