Damian Soul Akaribisha wawekezaji.

maxresdefault

Damian Soul Akaribisha wawekezaji.

Kaumba ni wimbo wake unaofanya vyema sasa katika vituo vya radio mbalimbali hapa nchini.

Damian Soul ameendelea kufanya vyema katika ramani ya muziki, huku akikiri kuwa kuna vikwazo vingi ambavyo vinafanya ashindwe kufika mbali kama ukubwa wa kipaji chake.

Moja ya vitu ambavyo amezungumza ni “unajua mimi sikuwahi kupewa support na familia wala washikaji nipo mwenyewe zaidi katika muziki wangu”

Ila kwa hapa nilipofika tayari nimekuwa biashara hivyo nakaribisha wawekezaji kwenye muziki wangu, maana kuna mengi nashindwa kufanikiwa kwakuwa sina wawekezaji”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez