CYRIL KAMIKAZE NA BARNABA NAO WAJIUNGA TUMA

CYRIL KAMIKAZE NA BARNABA NAO WAJIUNGA TUMA

Tanzania Urban Music Association (TUMA) ambacho ndicho chama halali cha muziki wa kizazi kipya (bongo fleva/hiphop)

Uongozi wa TUMA umeendelea kupokea wanachama wapya katika chama hicho ikiwa ni lengo la kuboresha na kujenga umoja katika kazi zao za muziki, pamoja na kusimamia yaliyomema katika muziki huo

Mapema leo Mwenyekiti wa TUMA ndugu Fredrick Malick maarufu kama Mgosi Mkoloni ambaye pia ni msanii anayeunda kundi la Wagosi wa kaya alisema” Cyril Kamikaze pamoja na Barnaba sasa wamejiunga TUMA.”

Pichani katibu wa TUMA ndugu Brayton akimkaribisha Barnaba na Ice. Zingatia Cyril hayupo pichani

IMG-20160210-WA0025

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez